Kweli wanawake hawajui wanataka nini

Unachokitafuta utakipata tu.

Kwani baada ya kuachana, siku hizi huwezi kutongoza wapya?

1. Sumu inaua
2. Mke wa mtu ni sumu.
3. Utakuja pigwa kisu sehemu za Amber Rutty
4. Jiandalie mafuta au jichimbie kaburi kabisaaa

nakukumbsha tu :hata mume wa mtu ni sumu😣
 
"Ndoa na iheshimiwe na watu wote"

Muambie akumbuke kiapo chake na awe muaminifu, ukiona haelewi muambie mmewe, ila usikubali kuzini naye
[emoji23] [emoji23] hapo tu ndipo mnapozingua wabongo vp kwani walikuwa hawazini mwanzo?
 
Hadi dakika hii bado haujajua imekaaje!!!
 
pole. ndiyo walivyo hao.ukishakula nyama ya binadamu kamwe huwezi iacha...tafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…