Kweli wanawake hawajui wanataka nini

dr shayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
556
Reaction score
1,000
Ni muda kidogo umepita nilikua na mahusiano na mdada mmoja. Baadae nikachunguza kumbe alikua ni mchumba wa mtu nikampotezea mdogo mdogo. Juzi juzi baada ya kumaliza chuo ndo akafunga harusi, cha kushangaza bado anataka nimgegede. Hii imekaaje wahenga wa huzi kazi.
 
"Ndoa na iheshimiwe na watu wote"

Muambie akumbuke kiapo chake na awe muaminifu, ukiona haelewi muambie mmewe, ila usikubali kuzini naye
 
Unachokitafuta utakipata tu.

Kwani baada ya kuachana, siku hizi huwezi kutongoza wapya?

1. Sumu inaua
2. Mke wa mtu ni sumu.
3. Utakuja pigwa kisu sehemu za Amber Rutty
4. Jiandalie mafuta au jichimbie kaburi kabisaaa
 
Alikuwa anasoma chuo gani?
 
Siri ya jeshi hiyo au ni mke wako nini? Kwa kifupi ni tawi la chuo kimoja hivi huku Chuganian
Hakuna mkuu, nilitaka niunge dot tu. Haya matukio hayana formula. Watu tunapigwa hataree. Hawa mandezi ... Ahhh ngoja niishie hapa kwanza
 
Ndo maana namkwepa kila akitaka kutimba magetoni namuambia sipo hapo mwanzo. Now imebidi nihame kabisa ili asijue ninapokaa.
Unachokitafuta utakipata tu.

Kwani baada ya kuachana, siku hizi huwezi kutongoza wapya?

1. Sumu inaua
2. Mke wa mtu ni sumu.
3. Utakuja pigwa kisu sehemu za Amber Rutty
4. Jiandalie mafuta au jichimbie kaburi kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…