Kweli wanatuona manyani

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Joined
Dec 4, 2023
Posts
196
Reaction score
250
Yani kubadilisha jina kutoka tume ya taifa nec, hadi tume huru ya uchaguzi, ndio wanatuaminisha, teari washarekebisha, matatizo ya tume, kwa kubadilisha jina, kwahio hapo ndio teari mapungufu ya tume yasha shughulikiwa yani wanatuona watanzania uwezo wetu wa kufikiri mdogo sana kweli wanatuona manyani
 
Bado kazi IPO🤣🤣🤣🤣🪑💺🎶🎶🎶🎶
 
Kwahiyo unajisifu kuonekana nyani. Hao wanaokuona nyani wamepigana vita ngapi wenyewe kwa wenyewe, nchi zao mara ngapi zimeingia matatizoni?
 
Taifa la vilaza na wapumbavu hili na Kuna wapumbavu watakwenda kupiga Kura za kipumbavu kuonesha upumbavu wao.
 
Ratiba ya maandamano ya amani ya CHADEMA imeshatoka jitokeze kuonesha hisia zako.
 
Nchi ya majuha hii.

Majuha yalioko ccm yanadhani yatakwepa madhira ya katiba mbovu na "tume mtu" ya uchaguzi.

Bei ya bidhaa kuwa juu, umeme kukatika, ufisadi, kukosekana kwa pembejeo, kukosekana kwa madawa hospitalini, wajawazito kujifungulia sakafuni, n.k ni kwa majuha yote yalioko nje na ndani ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…