Kweli vyeti DUCE bado?

BOFREE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
1,060
Reaction score
1,454
Wakuu najua JamiiForums ni sehemu ya kupata taarifa nina kijana wangu amemaliza degree ya elimu DUCE mwaka jana, sasa kinachonishangaza mpaka mwezi huu wa tatu kila nikimuuliza vyeti anasema bado?

Je, ni kweli bado? isije kuwa kijana kafeli ananizuga tu? Maana nilimuomba transcript akanipatia shida ni cheti.
 
yaani yeye ashindwe kuona umuhimu wa cheti, wewe ndo uone huo umuhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…