MPENDA USAWA
Senior Member
- Oct 15, 2012
- 169
- 30
Daaaah!!kweli nimeamini utu uzima haupigi hodi unajikuta tuu matendo yanabadilika na unaanza kubehave kama mtu mzima...
Ni juzi juzi tuu mara mama kakutumia ki 50 tigopesa baba anakuuliza hali yako ikoje....huku makaka na madada ukipiga kiboom tuu kimetick ila leo hii hali imebadilika kbs baada ya iko kichuo kuisha na ukajua jinsi ya kuitafuta ridhiki huku mchumba umshamtambulisha nyumbani.....daaah kweli maisha yanaenda nshakuwa mtu mzima nw!!!!!!!!!!!!!!!!!!nikichanga karata vibaya tuu finally uzeeeni!!!!nawasilisha
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Usichoelewa hapo ni nini!???nyie ndo mitoto ya kutafuniwa na kuwekewa kwenye kijiko!!!!!una minyooo wewe!!hata sijakuelewa mkuu
Basi wenye minyoo tupo wengi, sielewi hata ulitaka kuandika nini!Usichoelewa hapo ni nini!???nyie ndo mitoto ya kutafuniwa na kuwekewa kwenye kijiko!!!!!una minyooo wewe!!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Daaaah!!kweli nimeamini utu uzima haupigi hodi unajikuta tuu matendo yanabadilika na unaanza kubehave kama mtu mzima...
Ni juzi juzi tuu mara mama kakutumia ki 50 tigopesa baba anakuuliza hali yako ikoje....huku makaka na madada ukipiga kiboom tuu kimetick ila leo hii hali imebadilika kbs baada ya iko kichuo kuisha na ukajua jinsi ya kuitafuta ridhiki huku mchumba umshamtambulisha nyumbani.....daaah kweli maisha yanaenda nshakuwa mtu mzima nw!!!!!!!!!!!!!!!!!!nikichanga karata vibaya tuu finally uzeeeni!!!!nawasilisha
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Usichoelewa hapo ni nini!???nyie ndo mitoto ya kutafuniwa na kuwekewa kwenye kijiko!!!!!una minyooo wewe!!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
bora umeshtukia hilo... mimi mwenyewe kinachonipa mawazo ni kuhusu kubeba mimba na wakati wa kujifungua nawaza sana

utachomwa sindano ya ganzi
Simple, achana na habari ya kuja kuwa na mtoto...
Hutakuwa na mawazo tena.
Basi wenye minyoo tupo wengi, sielewi hata ulitaka kuandika nini!
Well, then Do something..mmi nataka mtoto sasa
Otea............:majani7:wewe hivi ukoje