kweli usingizi hauna adabu!

Walivyolala wamenikumbusha mbali sana, Jamaa mmoja alipitiwa na usingizi tukiwa kwenye seminar wacha ajambeee kwa sauti.Watu wote haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kulala ni dalili ya kutokuwa na hamu ya kusikiliza kinachozungumzwa. Museveni amechokwa jamani siyo utani.
 
Waheshimiwa wanawaza totoz zao.wakitoka hapo wanaenda kukunwa vitambi
 
Bored ..
Embu mtu aweke wimbo wa
King'wendu (mapepe)
 
shuwa usingiz hauna adabu unaweza ukajamba kwa sauti huku ukiwa una sikiliza hotuba ya mheshimiwa huku ukiwa ume tandika ucingiz wanguuuuuuuuuuuuuuvuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
wanashiba sana kwa kufuja kodi za raia ndo maana wanasinzia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…