Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Jun 3, 2014 #1
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jun 3, 2014 #2 Umeniharibia taimingi ya nyama choma aiseeee
Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Jun 3, 2014 Thread starter #3 bysange said: Umeniharibia taimingi ya nyama choma aiseeee Click to expand... pole....fanya bajet utakula kesho
bysange said: Umeniharibia taimingi ya nyama choma aiseeee Click to expand... pole....fanya bajet utakula kesho
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,143 Jun 3, 2014 #4 Kali ya leo
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Jun 3, 2014 #6 Kwenye kunya hakuna mbwembwe na hasa uwe umepata tumbo la kuharisha he heeeeee:A S cry::A S cry:
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,447 Reaction score 4,841 Jun 3, 2014 #7 Hahahahahaha tena unajitenga vyema Umenichekesha!
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Jun 3, 2014 #8 Ooyooo inategemea na toelit aina gani maana kuna cha shimo na cha kukaa hiki cha shimo huwa hakina nyondo na hiki cha kukaa ndo kina kile uwashorobaro
Ooyooo inategemea na toelit aina gani maana kuna cha shimo na cha kukaa hiki cha shimo huwa hakina nyondo na hiki cha kukaa ndo kina kile uwashorobaro
Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Jun 4, 2014 Thread starter #9 makubazi said: Ooyooo inategemea na toelit aina gani maana kuna cha shimo na cha kukaa hiki cha shimo huwa hakina nyondo na hiki cha kukaa ndo kina kile uwashorobaro Click to expand... swala ni kwamba haina staili nyingi
makubazi said: Ooyooo inategemea na toelit aina gani maana kuna cha shimo na cha kukaa hiki cha shimo huwa hakina nyondo na hiki cha kukaa ndo kina kile uwashorobaro Click to expand... swala ni kwamba haina staili nyingi
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,185 Reaction score 7,376 Jun 4, 2014 #10 Si kweli. Mimi bila kusikiliza muziki huku nikiruka Sagha Rhumba na Ndombolo sinyi vizuri.