UmtwaAlumbwagwe
Member
- May 24, 2012
- 54
- 10
. Jana ITV ktk taarifa yao jioni walionesha mashamba makubwa ya bangi huko Korogwe na wanaoyamiliki, kama sikuangalia vibaya na wewe nilikuona pale.Pandikizi la CCM ndani ya chadema ni Mbowe, mtakuja kunambia.
We aim high!
Bwana She-Buda ni ovyo kabisa, atavuna alichopanda. Maana nina imani ataona aibu kurudi sisiemu.... sina hakika ataenda chama gani. Pia kwa leo katika mkutano wamefanya hekima sana kutomgusia, maana angepata umaarufu sana. Kukaa kimya bado anajiona ni mpumbavu mno.
Kaeni chonjo na wana ccm wote wanao hamia chadema mkadhani mmepata wote ni wakina shibuda,
Kaeni chonjo na wana ccm wote wanao hamia chadema mkadhani mmepata wote ni wakina shibuda,
Kaeni chonjo na wana ccm wote wanao hamia chadema mkadhani mmepata wote ni wakina shibuda,
Kibaka mzoefu..pumba
Kaeni chonjo na wana ccm wote wanao hamia chadema mkadhani mmepata wote ni wakina shibuda,