Kweli Samia kajitahidi sana

Huyu kamalizia awamu ya Magufuri, alichokifanya yy asilimia kubwa ndio ilani walioinadi na Magu katika uchaguzi uliopita, au unataka kuniambia kila mmojawao alikuwa na ilani tofauti ya ccm?
 
Mie namkubali sa100 kwakuwa na michawa mingi...fungu limetengwa la kutosha kuwahudumia!!.
 
Huyu kamalizia awamu ya Magufuri, alichokifanya yy asilimia kubwa ndio ilani walioinadi na Magu katika uchaguzi uliopita, au unataka kuniambia kila mmojawao alikuwa na ilani tofauti ya ccm?
Hayaa
 
Wamepekela na umeme? Kweli mama anaupiga mwingi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…