Kweli Samia kajitahidi sana

Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakufurumua.
Usimlinganishe magufuli na takataka sawa?
 
Wapuuzi kama nyie mnatakiwa mpigwe Risasi hadharani, hasara kwa taifa
Kamanda, tafadhali! Bora nipigwe mimi hadharani hiyo risasi badala ya huyu Babe wangu, kwa sababu nimetoka naye mbali. Halafu bado hana taarifa kamili kama nchi imeshauzwa tayari na Wahuni kupitia hayo maji, na pia zile baiskeli za Swala.
 
Wapuuzi kama nyie mnatakiwa mpigwe Risasi hadharani, hasara kwa taifa
Mtu kama ww uliye panga chumba kimoja mlo wako kwa shida hutaki kuheshimu mawazo mbadala ila wakati huo unataka samia anaye miliki polisi,jeshi,mahakama aheshimu mawazo mbadala .
 
Kamanda, tafadhali! Bora nipigwe mimi hadharani hiyo risasi badala ya huyu Babe wangu, kwa sababu nimetoka naye mbali. Halafu bado hana taarifa kamili kama nchi imeshauzwa tayari na Wahuni kupitia hayo maji, na pia zile baiskeli za Swala.
Mpige msasa mkuu aelewe mambo
 
Uzi umejaa kumlaumu JPM Mpaka umeacha point yako ya msingi 🗑️
Badili jina la mada na uweke ya kumlaumu JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…