Ukishafilisiwa na huo mlupo tafadhali usisahau kauli ya "maisha si kutesa kila siku japo pesa ndiyo kila kitu" [emoji125]Ubahiri wangu unaniponza sana kiasi kwamba nimekua mtu wa kula class B kama sio C,kiukwel D sijafika.
Back to the point ninakitoto kimoja hiv umbo kama huddah wa kenya,sasa huyu dogo kanivumilia kwa ubairi lakin anaona kachoka maze make kila akilia shida lazima nishindwe kutatua.
Baada ya kuona baharia nakaza mwenye kanipiga pending ya maana kinoma ile,kila ukimtafuta ohoo nipo busy mara akwambie anakuja manungu(majinjioni) hasifike yanitafarani.
Ikanibidi nitafute ninapokosea ni wap,majibu niliyapata nikakujua ni Gambe langu make kiukwel ni mm nagambe gambe na mhmm la pili nikajua kushindwa kutimiza matakwa yake.Hapo sasa nikasema nijaribu kufanyia kazi hivyo vitu kwanza.
Dogo kumuita tu nilimshawishi vibaya ovyo,baada ya kuja ndo ikafata show kali iliosindikizwa na vipesa vya kiaina ikumbukwe kama pesa nishampa kati mahusiano bas itakua mara ya pili ndani ya miez 6
Sasa naona sms kasi ya 4g love love,mabaharia naona kidogo tuwajari hawa viumbe kidogo
Me kuna mmoja uyo nilkuwa nikimwambia kesho nakupa ela atanipetpet balaa nikishampa tu anapoza nikaona sio kes nikapiga chin nw nip les kusaka mavumba mwez wa 3 uu sina dem wala nin nip buzey kusaka mavumba

Ubahiri wangu unaniponza sana kiasi kwamba nimekua mtu wa kula class B kama sio C,kiukwel D sijafika.
Back to the point ninakitoto kimoja hiv umbo kama huddah wa kenya,sasa huyu dogo kanivumilia kwa ubairi lakin anaona kachoka maze make kila akilia shida lazima nishindwe kutatua.
Baada ya kuona baharia nakaza mwenye kanipiga pending ya maana kinoma ile,kila ukimtafuta ohoo nipo busy mara akwambie anakuja manungu(majinjioni) hasifike yanitafarani.
Ikanibidi nitafute ninapokosea ni wap,majibu niliyapata nikakujua ni Gambe langu make kiukwel ni mm nagambe gambe na mhmm la pili nikajua kushindwa kutimiza matakwa yake.Hapo sasa nikasema nijaribu kufanyia kazi hivyo vitu kwanza.
Dogo kumuita tu nilimshawishi vibaya ovyo,baada ya kuja ndo ikafata show kali iliosindikizwa na vipesa vya kiaina ikumbukwe kama pesa nishampa kati mahusiano bas itakua mara ya pili ndani ya miez 6
Sasa naona sms kasi ya 4g love love,mabaharia naona kidogo tuwajari hawa viumbe kidogo
Bas kaa na pesa zako na mwanamke akae na kitu yake 😎Mimi sipendagi kabisa kumpa mwanamke hela. Hela zangu zinaniuma. Nazipata kwa tabu munoo
Kitu yake namna gani kwani mimi sina kitu yangu.Bas kaa na pesa zako na mwanamke akae na kitu yake 😎
Ushamba n nn?Kitu yake namna gani kwani mimi sina kitu yangu.
Ama pengine mapenzi unayaelewaje?
Kwamba mapenzi ni upande mmoja?
Kwamba mwanamke hana shida na mapenzi, yeye ni pesa tu?
Nakuona kama mshamba vile.
NA mbusus ndo ushamabaUshamba n nn?
Bas sawaMbususu
NA mbusus ndo ushamaba
Atatuzwa na wazazi wake, acha kuingilia majukumu yasiyokuhusu..........kwa mtazamo wangu n kwamba kama uko na uhusiano na mtu na anakupa kitu unachotaka, bas na ww uswe mcho kumtunza n wajibu wako s utake kumchakaza mwenzio hata haumpi kiinuamgongo syo poa.
Kama vp n bora uchague kuwa sngle ule pesa zako mwenyewe, ukijua kupokea ujue na kutoa. Et mnajitetea et mnapata wote utamu, s utetez weny tija kama umeamua kuingia kwny mahusiano na mtu bas mtunze ili azd kuwa bomba s kuchakaaa.
Hee!! jamani hii sawa kweli? yaani mie kujaribu tu ndo unasema basi sawa!!! Mm!! mm !!!! sitki mie hii si sawa..............Bas sawa
Hahahaahaahah!Hee!! jamani hii sawa kweli? yaani mie kujaribu tu ndo unasema basi sawa!!! Mm!! mm !!!! sitki mie hii si sawa..............