Ndugu zanguni yamenikuta na naomba ushauri wenu,Mimi ninaishi na mume wangu yapata miaka miwili sasa,nina mpenda sana Mume wangu na ninaamini kuwa naye ananipenda pia.Ila kuna tatizo linanisumbua sana juu yake ambalo linanipa wasiwasi kiasi kwamba nashindwa kuelewa hatma ya mahusiano yetu ya ndoa kwa maana ya kwamba nahofia yasije yakaingia shubiri na ile imani nlionayo juu yake ikateteleka.Ni hivi kabla ya kunioa mimi aliwahi kuwa na mahusiano na wanawake wengine ila mwanamke wa mwisho ambaye aliachana nae amekua akiendelea kuwasiliana na mume wangu na kila ninapohoji juu ya hilo Mume wangu hunijibu kuwa hauna kitu kinachoendelea baina yetu ni rafiki yangu tu wakawaida na hana shida yoyote na sisi kwanza huwa anapiga simu na kutuma meseji za kutujulia hali,anyways nimejitahidi sana kuwa na mtizamo chanya na kuuambia moyo wangu uamini hivyo.Ila siku zinavyokwenda nikaona mazoea yanakua sio mazuri kwa maana wakati mwingine humpigia simu ana hutuma meseji humueleza mume wangu kuwa amemmiss sana na anataka kuonana nae na vitu kama hivyo.Nlimwambia mume wangu mawasiliano na huyo mpenzi wako wa zamani hayanibariki hata kidogo naomba uwe na mipaka na ikibidi uache kwa maana yananiumiza mimi zaidi,aliniahidi kufanya hivyo na kweli kwa kipindi fulani kazi ilipungua ila sasa leo ametuma tweets kuhusu mume wangu kwenye mtandao wa twitter kitu ambacho kimeniuma maana anaeleza jinsi anavyofurahia tendo la ndoa na mume wangu na baada ya kuliona hilo nkampigia mume waqngu kumweleza akaniambia atampigia simu kumsema juu ya hilo na kumuonya.Badala yake kilichotokea yule mwanamke alituma tweets za kunitukana na kunidhalilisha mimi kitu ambacho kinaniuma sana kwa maana mume wangu anasema yule mwanamke ni rafiki mzuri tu na hana shida hata kidogo.Nisaidieni ushauri ndugu zangu je niendelee kuvumilia hayo yote yanayojitokeza na kuamini maneno ya mume wangu kuwa huyo mwanamke hana shida na sisi ama nifanyenye?Naomba ushauri wenu katika hili.....
ikute huwa anakuponda huko,inauma sana kwa kweli.MUITE MUNGU

khaaaaa. huyo mwnamke ni mshezi na wewe unakubali kuonewa.mkabe mumeoa a to z!
Thanks for the advice coz am going to work for them an hopefuly i will come out with a constructive decision...thanks alot...wat if anatuma post twitter kukuumiza!
wat if mumeo kweli ana mahusiano na ex wake
wat if mumeo anafurahia ex wake anavokurusha roho
wat if mumeo bado anampenda ex wake
wat if mumeo anamtuma ex wake kufanya yote hayo!
wat if mumeo hasemi kweli juu ya ex wake
wat if !wat if !wat if!wat if!
nawaza tu kwa sauti mdogo wangu!
katika hili
1.ukipigana vita ya nyama huwezi!pigana vita ya kiroho!
2.mkalishe chini mumeo umpe msimamo wako
3.mpe nafasi ya kuufanyia kazi
4.baada ya muda chek tatizo kama bado lipo!
thn fanya maamuzi magumu!
wat if anatuma post twitter kukuumiza!

Nazidi kumwomba Mungu azidi kunipa ujasiri na nguvu katika hili ili mwisho wa siku nifanye maamuzi ya busara na nisimwonee mtuNa hii ndio shida kubwa.. Kimada akifikia hatua ya kutanua mbavu na kuhakikisha wewe unajua uwepo wake lazima kuna kitu kinampa confidence si bure.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hili la boldini ni la msingi na sekondari!sawa fellow rev mother.I think you are 99% correct, mumewe ndio ana entertain hayo madudu; ni Zombie wa X wake and he is not over her. Bidada, awe na roho ngumu apende kwa akili na imani. Ikiwezekana amuombe mumewe wakacheck afya, akikataa watengane kiunyumba na asali sana na kufunga huenda Mungu akarestore ndoa yake.
Unaonaje, aje this weekend tumfungue kwa maombi ya Moto wa Roho Mtakatifu? Tumshirikishe na mwenyekiti wa baraza la walei gfsonwin na muhesabu sadaka Asprin.
Nafikiri mumewe ni mshenzi 100 times. Ushenzi na kiburi cha huyo dada kinapaliliwa na mumewe!
Pole sana, mketishe mmeo akueleze vizuri kwa upole, upendo na unyenyekevu huenda kuna vitu havipendi kwako ndo maana anarudi kwa x wake kuvitafuta
kwanini huwa tunaamini sana kuwa kutoka nje ni mapungufu ya mwenza !
WAKATI MWINGINE HUWA TUNATOKA NJE KWA KUWA WENZI WETU NI WAKAMILIFU MPAKA TUNATAMANI KUFANYA DHAMBI TUWACHAFUE!mwanadamu huwa simwelewi kwa kweli!simwelewi kabisa!yani kabisaaaaaa!
Welcome on board rev.mom; ninaongeza idadi ya free and critical thinkers wa MMU!