MARCKO JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 2,258 Reaction score 275 Jan 3, 2012 #1 Eti police, wanajeshi wanaonyesha utaalamu wao ( kuvunja matofali kwa kichwa) wakizamani enzi za ROMA. Wakati usA , iran, russia, france, ndo kwanza makombora ya masafa mareeefu na ndege ziczo na RUBANI. tutawakuta? Au tusijisumbue kabisa. Dah
Eti police, wanajeshi wanaonyesha utaalamu wao ( kuvunja matofali kwa kichwa) wakizamani enzi za ROMA. Wakati usA , iran, russia, france, ndo kwanza makombora ya masafa mareeefu na ndege ziczo na RUBANI. tutawakuta? Au tusijisumbue kabisa. Dah
yutong JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 1,601 Reaction score 338 Jan 3, 2012 #2 hahahahahahhaaa umenifuraisha sana
kussy JF-Expert Member Joined Jun 15, 2010 Posts 408 Reaction score 124 Jan 3, 2012 #3 Nafikiri ndugu zangu hamna utaalamu kny '' covert operations'' ukiwa na vikosi vizuri vya commandos ni better kuliko hiyo midege na makombora.
Nafikiri ndugu zangu hamna utaalamu kny '' covert operations'' ukiwa na vikosi vizuri vya commandos ni better kuliko hiyo midege na makombora.