maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,493
- 3,382
Unafikiri mke wangu ndio kama wale uliozoea kuwaokota kwakupiga mruzi tu basi? Kama umebugi kimpango wakoMgeni wa mwanamke wewe... Ogopa mke.
Sio kwa mke wangu mimi ndio mwanaume wake wa kwanza na nimembikiri mwenyewe,wewe umekua pretender coz ulishaumizwa sana so unafikiri wote mko sawaNadhani hautujui tulivyo good pretenders
Possibly mkuuSio kwa mke wangu mimi ndio mwanaume wake wa kwanza na nimembikiri mwenyewe,wewe umekua pretender coz ulishaumizwa sana so unafikiri wote mko sawa
We ni muwazi...[emoji122] [emoji122] [emoji122]Nadhani hautujui tulivyo good pretenders
watu tumebikiri hao madem mwisho wa siku katiwa mimba na mtu mwingineSio kwa mke wangu mimi ndio mwanaume wake wa kwanza na nimembikiri mwenyewe,wewe umekua pretender coz ulishaumizwa sana so unafikiri wote mko sawa
Ndugu usijidanganye kwavile umeshalizwa sana, ukoo niliooa wanawake 95% wanazeeka na wanaume zao.Nina mashemeji zangu 9 wote wanazeeka na waume zaoTeh teh teh teeeeh!!!
HahahahahahahNadhani hautujui tulivyo good pretenders
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nadhani hautujui tulivyo good pretenders
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ndugu usijidanganye kwavile umeshalizwa sana, ukoo niliooa wanawake 95% wanazeeka na wanaume zao.Nina mashemeji zangu 9 wote wanazeeka na waume zao