Kweli Mungu mwacheni aitwe Mungu

Kweli Mungu mwacheni aitwe Mungu

dady Vanny

Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
28
Reaction score
9
Nimejaribu kufuatilia nakufikiria nimegundua Mungu niwaajabu...kwetu sisi wanaume nmeona kwawale maplayboy Mungu amakuonesha jinsi watu wanavoumizwa kupitia hyo tabia yakuwachezea mabinti nakuwaacha maana beliave me ukiwa natabia chafu kwamabinti pia unabarikiwa mtoto wakike mzuriiii hapo ndo itajua Mungu sio Deus..tuache hizi tabia asee hayo mambo tisipende sana..kumbuka unavomchezea binti wawatu vivo hivo mkeo,mwanao na nduguyo watafanyiwa hivo......
 
Hahaha mkuu umejuajee kuna jamaa alikuwa kazi yake kutia vitoto vya watu kajaliwa watoto wakike mapacha juzi
 
Sasaiv mkuu hata usipowala wakwako wataliwa tuu
Mi naona simetimes Mungu anakuonea huruma kama huna hayo mambo pia inaweza kuwa nimalipo sababu ya nduguyo unajua what goes arround it comes back arround
 
Kwahyo tuache kula papuchi? Maana mabinti wote ni watoto wa watu
 
Back
Top Bottom