Kweli Mo anaichezea Simba

Wekeza simba elfu 80 kama unazo mzee kilomoni
 
Mo anaidai simba, anavyo sajili na kutoa bonas klabu haina uwezo wa kulipa kwaiyo wanakatana juu kwa juu na viongozi wanafahamu. Mo anatoa pesa lakin klabu inalipia kwa matangazo ya bidhaa zake sasa kunashida gan? Dunia ya sasa hakuna cha bure
 
Jamaa katoka kusikiliza clouds wanavojadili huku wao wakiwa hawajui chochote kinachoendelea, . hahahaha!! Kazi tunayo kwakweli , tafuteni source zenye uhakika na sio manenomaneno yasio na ukweli wowote!!
Ndio shida ya hii nchi kila mtu anajifanya mjuaji kwa kila kitu ni tatizo kubwa.
 
Ama kweli wivu hauchagui baya wala zuri! Ivi tumewaonea wivu yanga kwa style yao ya kuendesha club kwa kupitisha bakuli!!
 
Wewe ndo huna ufahamu na mleta mada mwenzio, hivi mil 250 inaweza kutosha kujenga uwanja wa kisasa wa kufanyia mazoezi.
Pili kabla ujapiga domo nenda saizi bunju uone kinachoendelea
 
Ndio hivyo kuna wajumbe wabodi upande wa club wanalalamika kuna maamuzi yanafanyika bila wao kushirikishwa
Mtaje huyo mjumbe ka kweli una uhakika,
Mwanaume usiwe mbeya na muongo hadi shetani anakushangaa.
Kwenye thread yako umesema nyie waelewa mnajua kila kitu saizi unasema kuna mjumbe wa bodi analalamika.
 
Wewe ndo huna ufahamu na mleta mada mwenzio, hivi mil 250 inaweza kutosha kujenga uwanja wa kisasa wa kufanyia mazoezi.
Pili kabla ujapiga domo nenda saizi bunju uone kinachoendelea
Umewahi fika eneo la uwanja wasimba???? Kuna kazi hata ya million 60? Au unakurupuka tu hata uwanja hujui ulipo
 
Umewahi fika eneo la uwanja wasimba???? Kuna kazi hata ya million 60? Au unakurupuka tu hata uwanja hujui ulipo
Mi nimekwambia nenda Leo ukaone kinachoendelea sio kupiga porojo.
Hivi simba ilikua na uwezo gani wa kifedha kufanya inayofanya saizi ka si uwekezaji wa MO.
 
Mi nimekwambia nenda Leo ukaone kinachoendelea sio kupiga porojo.
Hivi simba ilikua na uwezo gani wa kifedha kufanya inayofanya saizi ka si uwekezaji wa MO.
Endelea kushangilia baadaye utaelewa.

Kwaheri
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…