Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,663
Hili swali limemvuruga tayari!!Una access na account ya club?
Mo anaiua Simba. Ashughulikiwe kama Manji huyu tapeli ghabacholi
Kuongea kitu bila ushahidi ni hatari kubwa.! Kama uahisi jamaa kaweka pesa hewa emu nenda kanunue hisa uwe mmiliki wa simba!! Kama waona hakuna kitu kinachoendelea wacha maneno ingia kwene udhamini na wewe, klabu imekaribisha udhamini , hii ndio nafasi yako kudhamini club!! Nenda kadhamini mr.
Sisi mashabiki tunataka matokeo mazuri uwanjani na vikombe:
Ova
Baadaye mtamuelewa mzee Kilomoni,msimu uliopita mlisaini na MO energy mil 250,mkatuambia mnaenda kujenga uwanja wa mazoezi,ila mbumbumbu fc mmesahau ahadi hiyo.
Siku moja mkipata ufahamu Mikia mtabaki midomo wazi maana hadi sasa kwa taarifa ya ndani MO anasema tayari ametumia billion 4
Ukioewa team ww utaweza endesha unajua wachezaji wanalipwaje kuweka team kambi unajua galama yake usiwe unaropoka kma unacheza rede
Nyie ndo wale wazee kina akilimaliAmeeendelea kuwadanganya viongozi wa Simba aliowaweka mfukoni!!!
Leo tena amesaini million 250 hewa kwa club ya Simba kwa kutangaza bidhaa zake na club ya Simba
Huyu magori anatumika na Mo kutaka kuibia Simba
Mo anatoa hela kwenye makaratasi ila pesa haiendi kwenye akaunti ya Simba
Mwaka Jana Mo alisema atatoa million 250 kwa ajili ya mwaka mmoja kuidhamini club lakini pesa hata robo haikutoka
Mwaka huu tena amesaini miaka miwili kuidhamini Simba miaka miwili kwa million 250 lakini pesa ya mwaka Jana haijatoka sisi tuliokuwa tunajua Mo ni tapeli toka mwanzo tulimkataa sasa tunaanza kuelewana
Huyu muhuni Mo akishirikiana na magori watatuchezea mpaka lini?
Kuna mashabiki oya oya yanamshangilia huyu muhindi tapeli IPO siku wataelewa
Kumbuku billion 20 hata dalili hamna
Nyie ndo wale wazee kina akilimali
Usikute huyu mtoa post hajawahi kuisaidia Simba kwa lolote,isipokuwa kupiga tilalila tu.Nyie ndo wale wazee kina akilimali