Nisaidie kuikuza nione vizuri mkuuNa kweli wamefanana.
Uchokozi huo 🤣🤣🤣Nisaidie kuikuza nione vizuri mkuu
Ahsante mkuu. shukrani sana. uwe na siku iliyo njema
Ahsante na kwako pia. Ila si wamefanana eee? 🙈Ahsante mkuu. shukrani sana. uwe na siku iliyo njema
Yaani huyo dada asingevaa sketi ingekuwa tabu kujua jinsi zao kwa urahisiAhsante na kwako pia. Ila si wamefanana eee? 🙈
Ila kwa sababu yupo kijijini tu akija town akianza kuvaa wigi na kupaka vipodozi anabadilika kabisa huyo. 😀Yaani huyo dada asingevaa sketi ingekuwa tabu kujua jinsi zao kwa urahisi
Kwa sura ya huyo dada akivaa wigi atafanana kama mwewe!Ila kwa sababu yupo kijijini tu akija town akianza kuvaa wigi na kupaka vipodozi anabadilika kabisa huyo. 😀
Hahahaaa. LolKwa sura ya huyo dada akivaa wigi atafanana kama mwewe!
Unajua maana ya wigi ni ili ufanane fanane na wazungu!
hahahahahahahahh
OmeeraaaNaona jiwe la mpakani mwa nchi hilo. Haikosi ni kuleeee Ujaluoni
Naade? Waachma tich?Omeeraaa