dawa ni moja tu kuachana nayohahahahah wazo zuri ila nimesha kwambia nisehem ya maisha kama ilivyo kifo hatukipendi ila hutokea
Haya Kwahyo Na Kifo Ni Sawa Na Mapenzi???!!!! Daaah!! Mola Tusamehe Wajaa Wako.nimetafakari sana nikaona mapenzi ni sawa na kifo tu kwani hakuna anaye weza kuyazoea mapenzi japo ni sehemu ya maisha, leo ukiyafurahia kesho yanakuliza, usipolia wewe analizwa jirani asipo lizwa jirani analizwa rafiki du maisha ni mafupi ila yana mitihani mingi sana.