Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Huyu ni Annette Kellerman; pro-swimmer na film actress, kunako mwaka 1907 alipozi kwa picha akiwa na swim suit kama anavyoonekana hapo chini. Lakini picha hii ilisababisha akamatwe kwa kujianika hivi. Hii ukifananisha na picha za bikini zinazopigwa siku hizi, utajua kweli jamii imetoka mbali sana.
h