tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Unakimbilia wapi ndugu? Tulia uandike kitu kinachoeleweka basi? Aaaaargh!!!Katika hali isiyokuwa ya kawaida , rais barrack obama alishikwa na mshangao pale alipomtkia barrack obama katika hotuba yake kwamba , "
Unakimbilia wapi ndugu? Tulia uandike kitu kinachoeleweka basi? Aaaaargh!!!
Rudi tena soma vizuri mkuu , vp ulilala umekula mende nini?
Rudi tena soma vizuri mkuu , vp ulilala umekula mende nini?
Sikujua kama mende ni chakula. Kwenu mnakula? Safari nyingine tulia uandike kitu kinachoeleweka na ukikosolewa usikasirike na kuanza kurusha ngumi gizani kwa kajeli za kitoto . Kukosolewa ndo ukubwa huo... Karibu!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida , rais barrack obama alishikwa na mshangao pale alipomtamkia barrack obama katika hotuba yake kwamba , " wapo tayari kushirikiana katika mambo yote ambayo wamekubaliana na kutiliana saini, lakini sio mapenzi ya jinsia moja hilo hatupotayali na hatulikubali kabisa kabisa, kauli hiyo ya kenyatta ilimfanya obama kufuta ajenda yake iyo ingawa ilikuwa miongoni mwa ajenda alizo kuja nazo
Wewe uliona wapi agenda za obama?acheni uzushi.au nawe ni mdau muhimu kwenye ndoa hizo haramu?