BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,196
- 14,371
Nimemwambia gharama aliyoitumia kunichafua ndo gharama hiyohiyo atatumia kunisafisha..
Hata kama ninao privacy kitu cha msingi sana.
Tatizo linakuja mtu anapojifanya anakujua Sanaa kuliko wewe unavyojijua..Kwani ww ukiona hayo makasha ya dawa mtu katupa hutojua kama gonjwa la zinaa wakat naww umeshawahi kutumia
Sijaficha maradhi maana nimefika hospital ili kujua shida na nimepewa dawa tatizo wabongo hatueshimu privacy za watu.[emoji23][emoji23]mficha maradhi kifo humuumbua, hapo nakuona ulikua na hasira
Sent using Jamii Forums mobile app