Kweli hawa suluhu ni kupatanishwa?

Noma sana, huyo mbavu anamtandika kofi mwenzake hata hajamuangalia usoni usikute ni mjomba wake, siasa bana. Nadhani hatosahau alivochezea kichapo toka kwa wananchi.
 
Noma sana, huyo mbavu anamtandika kofi mwenzake hata hajamuangalia usoni usikute ni mjomba wake, siasa bana. Nadhani hatosahau alivochezea kichapo toka kwa wananchi.
Mambo kama haya ndio yanatia wananchi hasira,vyombo husika vitende haki or else kuna dalili mbaya huko mbele
 
Mambo kama haya ndio yanatia wananchi hasira,vyombo husika vitende haki or else kuna dalili mbaya huko mbele
Mag Foool please stop this otherwise utaishia the Hague.unaweza kujiona uko juu ya sheria lakini hizi damu zinazomwagika juu ya ardhi Mungu ataghadhibika.mbona nchi tumekua tunaishi kwa amani sasa utawala huu unaleleta balaa? enyi wachungaji na maaskofu ingilieni haya nchi ipone
 
upuuzi wa huyu malaya ndio unaleta ujadiliwe humu jf kweli?
Nimetaka uone hiyo video!Hayo mengine unaweza ukabeba au ukaweka kwenye kapu!
Pia Kigangwala yeye hakuona ni mpuuzi,akachukua muda wake kumuandikia!
 
Sometime kama dots zikiunganishwa ya haya yanaotokea unaweza pata picha Fulani hivi,Mueshimiwa Mbowe hausiki kabisa na upoteaji wa Ben SAA nane.waombaji iombeeni sana nchi hii.wafungaji vaeni magunia na mfunge na kuomba maana haya yanaoendelea kutokea Leo ili kesho lile bila kumshirikisha Mungu nchi yetu itapoteza sifa yake ile ya kisiwa cha amani
 
Hata nchi zilizo kwenye mitafaruku zilianza hivi hivi kwa kundi moja kuwa juu ya wengine bila serikali kuchukua hatua. Ni jambo jema hatua za kuzuia haya zikafanyika bila kuchelewa maana mchelea mwana kulia hulia yeye.
 
Ni wahuni na majambazi tu hawa ambao kwenye nchi zenye utawala wa sheria wangekuwa lupango saa hizi.

Team lipumba Kambaya amesema hawa walikuwa wanafanya doria:

Tujikumbushe aliyowahi kusema Ernest:
 
Sometime kama dots zikiunganishwa ya haya yanaotokea unaweza pata picha Fulani hivi,Mueshimiwa Mbowe hausiki kabisa na upoteaji wa Ben SAA nane.waombaji iombeeni sana nchi hii.wafungaji vaeni magunia na mfunge na kuomba maana haya yanaoendelea kutokea Leo ili kesho lile bila kumshirikisha Mungu nchi yetu itapoteza sifa yake ile ya kisiwa cha amani
Nimefadhaika nafsi mnoo
 
Back
Top Bottom