Kweli hapa kuna ndoa?

Sawa mkuu wangu nimekuelewa vizuri sana.
Basi muache tu.
Wewe fanya yako na yeye afanye yake.
Kuacha namuacha lkn n vigumu kumsahau mkuu. Inakaribia mwaka but bado yupo moyoni
 
Reactions: amu
Kuacha namuacha lkn n vigumu kumsahau mkuu. Inakaribia mwaka but bado yupo moyoni
Sasa unateseka sababu ya hizo hela? Kwani anataka mamilion au tuhela mbuzi twa kutumia siku mbili tatu?
 
Sasa unateseka sababu ya hizo hela? Kwani anataka mamilion au tuhela mbuzi twa kutumia siku mbili tatu?
Mkuu nimekuelewa nitaanza kufanyia kaz ushauri wako
 
Reactions: amu
Nashukuru upo mbali fimbo yangu inaua nyoka, ila nakuhakikishia nitakuachia kidogo bikra siimalizi.
 
Umomi kina dada humalizia hasira zao status pia huweke vitu vya kweli kabsaaa kuwa makini atakutesa kwny ndoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…