Kweli hapa kuna ndoa?

Umomi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
677
Reaction score
994
Habari zenu wadau!

Nimekuja kwenu kuomba ushauri. Mi ni kijana wa kiume nipo single namanisha sijaoa. Katika harakati za maisha nimefanikiwa kujihusisha wanawake kadha wa kadha kwenye mapenzi. Wengi wao niliwahidi kuwa ipo siku nitakuja niwaoe. Ila kwa kudra za mwenyezi Mungu mpaka Sasa hakuna hata mmoja ambaye nakaa naye mtaa mmoja hivyo kuja kuniganda ni vigumu sana.

Sasa kuna binti mmoja nilikutana naye nikiwa huko kanda ya ziwa nikiwa nimeenda huko kimasomo aisee! Yule binti alikuwa mzr sana kwa macho yangu. Yaani chuchu saa sita, mtoto bikra, Mtoto anamjua sana Mungu kweli nilitokea kumpenda sana. Nilikuwa ktk mahusiano takribani miezi 2 badaye nikarudi zangu mikoani kuendelea maisha yangu. Kama kawaida yangu na huyu nilitoa ahadi ya kumuoa. Sasa toka mwaka jana tuliendelea na "distance dating" mpaka muda huu.

Sasa huwa namuona sana akipost vijana ila nikimuuliza anasema nisiwaze eti ananiambia ni Mimi pekee na kunihakikishia kuwa hawezi olewa na mtu mwingine. Je, hapo naweza kuweka matumaini au nitafute kwingine? Wadau sema kweli nampenda sana japo yupo mbali

Nisaidieni
 
nipe namba zake ili nimuulize kama kweli hao vijana anao wapost ni watu wake au rafiki zake tu
 
Tunasemaga mwanaume ni kama bluetooth -huwa inasearch near device, na mwanamke ni wifi-husearch strong device
Sasa distance na ubahili vishakuliza
We endelea tu na maisha yako mkuu.
 
Tunasemaga mwanaume ni kama bluetooth -huwa inasearch near device, na mwanamke ni wifi-husearch strong device
Sasa distance na ubahili vishakuliza
We endelea tu na maisha yako mkuu.
Ni wazo zuri sana
 
Kaombe ushauri kwa Anti Lizi kwenye Gazeti la Mwendo Kasi siyo huku
 

Acha ujinga bwana mdogo hapo hamna kitu...watu wanajigegedea huko. Nawe gegeda huko ulipo...ndoa imitokea hiyo majaliwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…