Kweli Gari Mbovu Husukumwa na Nzima

Aahahhahahaaahahahaaa

Na wewe unawaelewa Forbyforbyforby Far...!!!? πŸ˜…

Hakika macho huwa hayashibi, na yakishiba mkono hutaka kuhakiki macho yameona sawia au yamekuwa kengeza...!???

Mkono ukisha hakiki hapo sasa na kichwa kinaamka na kuanza kugonga hodi.....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Uanamme kazi sana aahahahaha.

Hahahaa uanaume mateso kuhangaika ,yes mie ndio pigo zangu hizo matukunyema ,hao kina betina siwawezi.
 
Habari za jumapili waungwana...

Ndio kumeshakucha saa hii na leo ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa pili.

Kwa hiyo taswira hapo chini, nimeamini gari mbovu husukumwa na gari nzima.

View attachment 1713549

Huyo wa katikati anajua kuchenjua, bila kupiga ukope unaona mpaka kidaka mwiko...😜 machejo yamelala yanatolewa moja baada ya jingine aahahahahahaa looh

Hao wa pembeni hadi upekenyue pekechu pekechu ndo uone kidaka mwiko πŸ˜….

Hapo gari lazima iwake hata kama plagi hazichomi πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

NB: picha kwa hisani ya Shift

Pamoja na hayo, usiache kunawa kwa maji tiririka na uwahi ibadani 😊.

Kasinde Mapenzi.
Eee Mola, nusuru kizazi changu na familia yangu...

Ama kweli, kifo hakina breki na wala shimo la panya halizibwi na kitumbua....

1614616604767.png
 
M
Habari za jumapili waungwana...

Ndio kumeshakucha saa hii na leo ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa pili.

Kwa hiyo taswira hapo chini, nimeamini gari mbovu husukumwa na gari nzima.

View attachment 1713549

Huyo wa katikati anajua kuchenjua, bila kupiga ukope unaona mpaka kidaka mwiko...😜 machejo yamelala yanatolewa moja baada ya jingine aahahahahahaa looh

Hao wa pembeni hadi upekenyue pekechu pekechu ndo uone kidaka mwiko πŸ˜….

Hapo gari lazima iwake hata kama plagi hazichomi πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

NB: picha kwa hisani ya Shift

Pamoja na hayo, usiache kunawa kwa maji tiririka na uwahi ibadani 😊.

Kasinde Mapenzi.

Mfuasi mwingine wa @don nalimison
 
Back
Top Bottom