Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari za jumapili waungwana...
Ndio kumeshakucha saa hii na leo ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa pili.
Kwa hiyo taswira hapo chini, nimeamini gari mbovu husukumwa na gari nzima.
Huyo wa katikati anajua kuchenjua, bila kupiga ukope unaona mpaka kidaka mwiko...😜 machejo yamelala yanatolewa moja baada ya jingine aahahahahahaa looh
Hao wa pembeni hadi upekenyue pekechu pekechu ndo uone kidaka mwiko 😅.
Hapo gari lazima iwake hata kama plagi hazichomi 😃😃
NB: picha kwa hisani ya Shift
Pamoja na hayo, usiache kunawa kwa maji tiririka na uwahi ibadani 😊.
Kasinde Mapenzi.