Yaani watu wagumu kuelewa haswa!Hizo comment wala sizioni,unajua kwanini? Watu wa aina hio nimewatupa kwenye IGNORE LIST
Unasema mlikutana UK ya ulaya au ya KOLOMIJE?
Kuna kitu nahisiSasa nikitaja kabila si ndio na-narrow down search?
RRONDO.
You remind me the book of Jackie Collins, One of the bestselling writer. "married lovers.
In brief.
American man "Ryan" was in Bachelor Party in Amsterdam where he met Anya [a stripper] in a live sex show.
The man helped her visa and entry into America.
7years later at the dinner party in L.A the girl was introduced as new bride, married to Ryan father-in law.
It was quite unbelievable thank God he hadn't fucked her. He'd decided he wouldn't share it as you did[congrats].
Kuna kuna situation unafiki unasaidia.Kuna jamaa yangu ana demu anampenda sanaa!!..Basi ishu inakuja kuna dogo wangu naona nae anapiga huyo demu! ina maana me ni shemeji kwa rafiki na shemeji kwa dogo!..Nasubiri siku kuitwa mnafiki.
Ni ndoto yangu kufika hashburton groovePamefanya nini?
Hahaaa..unajitoa kijanja!!Endelea kuhisi mkuu. Zibaki hisia kichwani kwako. Hivi nani kasema hii ni stori ya kweli?