Nilimwambia tu Habari za Leo mama..ila huku nikitetemaSasa ilikuwaje? Ulimuamkia mama yako mdogo au?
Aa wapi ila huwa tunakumbushia kwa story tu...manina duuhh .eenheee hamkuendelea kupasha kiporo lbaada ya kukutana tena ..?
daahh kweli umeyaheshimu mahusiano yao..ningekuwa mimi ningeshindwa mkuu ..acha niwe open tuAa wapi ila huwa tunakumbushia kwa story tu...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] tena unakuta wewe ndo ulinicheat tukaachanaMara paap mzigua90 ndio ex wangu!
[emoji124][emoji124][emoji124]Sio kama Chura?
Mbona povu bobSTORI ZA KITOTO ZILIZO JAA AKILI ZA KUPAKA SCRUB NA KUPAKA INA KWENYE KUCHA.
RUBBISH KABISA..DOGO IZI SIFA ZA KUJIKWEZA HAZITAKUSAIDIA SABABU HUNA MAISHA HAYO..WEWE NI KA NGUCHIRO KADOGO TU
Hizo comment wala sizioni,unajua kwanini? Watu wa aina hio nimewatupa kwenye IGNORE LISTKuna watu wanaona UK ni mahali fulani pa ajabu sana aiseee....
Mtoa mada angelisema amefika peponi nadhani angetukanwa kweli kweli.
Huo ndio ushamba na ulimbukeni ndio maana tunaitwa shithole countries kwa sababu ya wapuuzi wachache!!!
Ukiona hivyo ujue mwenzio kashindwa kufika hata nchi jirani tunazopakana nazoHizo comment wala sizioni,unajua kwanini? Watu wa aina hio nimewatupa kwenye IGNORE LIST
Kuna mabingwa wa hunches akishasoma thread hiiAmbae anaweza kujua nini kinaendelea ni mke na ex wake tu