ndugu zangu watz hebu tuache unafiki. toka lini mtu akalima na jaketi? tena jaketi safii halin ahata vumbi?...tunafanya maigizo au ni nini?tusisumbuane akili hapa jamani...
HIvi huyo 'mkulima' gari aliyo 'kataa' inatofauti na hiyo au ni version tu? Halafu hapo alipose kupiga picha tu hamna lolote pose lenyewe amekosea kabisa sisi wakulima tunafahamu. Na huyo mwenye shati la kijani anafanya nini? mh, hapo kwishney!
ndugu zangu watz hebu tuache unafiki. toka lini mtu akalima na jaketi? tena jaketi safii halin ahata vumbi?...tunafanya maigizo au ni nini?tusisumbuane akili hapa jamani...
Hii itakuwa Kazuramimba kule Kigoma nini? Naikumbuka hiyo miwa mitamu halafu lainiiii.... Inaitwa bungara kwa wenyeji wa Kigoma. Na pembeni muhogo aina ya nderera! Teh teh teh! Watani wangu wa Kigoma mpo!?