Mkuu nilikuwa naangalia kwenye TV, kwajinsi mambo yanavyoendeshwe nikaacha kuangalia maana nikaona ni kupoteza muda bure. Huu mswada wanaoujadili kama hoja za mbunge moja zinatupwa kwa ajili ya mambo ya kichama itakuwaje kwa mwananchi wa kawaida!? Maoni yetu yatasikilizwa kweli?Kuna hoja tundu lisu ametoa kuwa suala la usimamizi wa mahakama lisimamiwe na bodi maalum na siyo kisiasa. Limeleta mvutano na kusababisha kupiga kura kwa kusema ndiyo au hapana. Imeonekana kama wamegongana na hivyo kuanza kutaja jina mojamoja ikiambatana na jibu la ndiyo au hapana.
Inasikitisha kwamba baadhi ya wabunge akiulizwa anajibu ndiyo kisha hapana. Kwa kweli utoto umezidi sana mjengoni. Yaani inaonyesha waziwazi makinda anafurahia wale wanaopingana na hoja ya tundu lisu. Hata mizengo alianza kwa kusema ndiyo, kisha akasema siyo na alipoulizwa mara ya tatu akasema ndiyo.
Kweli inauzi saaana.
Haijapita, ukiangalia bunge unaweza toa machozi kwa hasira. Kuna haja ya kupunguza wabunge wa CCM NEXT UCHAGUZI COz kiukweli hawako kutetea wananchi, wapo kichama zaidi. Kwa hali hii wa Tz tuna shida sana.Hiyo hoja imepita au la!
Haijapita, ukiangalia bunge unaweza toa machozi kwa hasira. Kuna haja ya kupunguza wabunge wa CCM NEXT UCHAGUZI COz kiukweli hawako kutetea wananchi, wapo kichama zaidi. Kwa hali hii wa Tz tuna shida sana.
Waache waendelee na upumbavu wao huo wakidhani sie wananchi ni wajinga hukumu yao wataipata 2015. Bunge la sasa hivi kila nikiangalia hua simalizi nashikwa na hasira sana
Ni kweli spika anachangia kwa 100%, ila tutaendelea kukandamizwa hv mpaka lini? Kuna mda itabd kwel waTZ tufanye maandamano kumkataa huyu mama. Hatendi haki.Uvyama unachochewa na spika. Itafika mahali wananchi tuandamane kumpinga spika. Makinda is good 4 nothing
Hiyo hoja imepita au la!