tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
Pichani inamuonyesha waziri mkuu mstaafu na aliekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chadema edward lowassa akiwa kijijini kwao monduli akitimiza ahadi yake kwamba akikosa urais anakuwa anajishughulisha na kuchunga ng'ombe , picha hii iliochukuliwa leo mapema asubuhi imedhihilisha kwamba mgombea huyu alikuwa mkweli wa ahadi zake , na angefanya hivyo hata kama angepewa nchi, kufanya kile alichokuwa anawaaidi watanzania , ktk ahadi zake, kwani alidhihilisha ktk hili, hii ni tofauti na wengine tuliowasikia kuludi bush lakini tunapishana nao kila kukicha.