wewe kwani anayekimiliki chama ni nani sasa hivi. embu uliza tartiiiibu. wazee wa ushiromboni walishakiuza inavyosadikika. we huoni watu hawana habari nacho siku hizi na wala hawachangamkii sana. imebaki hapa ni kazi tui.
tujenge nchi tuachane na mavyama haya yakishatupa presha weee . kumbe watu wanapiga hela tuu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.