Karibuni sana
[h=2]Kwaribu kituo cha msada wa sheria m & lamtane[/h]Karibu ndugu verifild tutafurahi kuerewesha juu yatatitizo lolote lakisheria nakushauri pia
tuna toa misada mbalimbali yakisheria katika vitu vyetu vya kisheria vivyopo na mtwara mjini na kwa hapa Dar es salaam pia tuna patikana katika jengo la EAGR/Furniture center ghorofa ya tatu , chumba na 301 Barabara ya nyerere/mtaa wa Boari .
TUNATOA MSADA WA KISHERIA KWA KESI MBALIMBALI KAMA
makosa ya jinai, ndoa, miradhi, madai yakawaida, mauziano ya nyumba magari ardhi n.k, napiatunatoa huduma yakuwakilishwa mahakamani na tunanda memorandum nakutoa ushauri wakisheria
KWA MAWASILIANO WASILIANA NASI
S.L.P 46423 Dar Es Salaam
Simu 0713602026
0783450400
0712690760
KWA MTWARA ORGANIZATION FOR LEGAL ASSISTANCE
S.L.P 407 Mtwara
Simu (023)23334693 karibu sana kituo chetu kwa.....???
hahaha, wanasheria hawasomi ligha ya kiswahili mzee, shukuru ameandika hivyo, angeliweza hata kuchanganya na lugha za kilatini hapo si ndo usingeelewa kabisa....however, nafikiri msg ameifikisha kwetu, tumpige sapoti tu.Mkuu, samahani.... hivi, kweli wewe ni mwanasheria kabisa? Ulisomea shahada ya sheria na kuhitimu? Au labda wewe ni msimamizi wa ofisi tu? Ni hayo tu ndugu yangu, sina lengo la kukukwaza....
mirathi, sio "miradhi"miradhi
misaada, sio "misada"misada
tunapatikana, sio "tuna patikana"tuna patikana
karibu, sio "kwaribu"kwaribu
na pia tunatoa, sio "napiatunatoa"napiatunatoa
vilivyopo, sio "vivyopo"vivyopo
ya kuwakilishwa, sio "yakuwakilishwa"yakuwakilishwa
tunaandaa, sio "tunanda"tunanda
wa kisheria, sio "wakisheria"wakisheria
Kwa mawasiliano tunapatikana.... sio "Kwa mawasiliano wasiliana nasi...."KWA MAWASILIANO WASILIANA NASI
mirathi, sio "miradhi"
misaada, sio "misada"
tunapatikana, sio "tuna patikana"
karibu, sio "kwaribu"
na pia tunatoa, sio "napiatunatoa"
vilivyopo, sio "vivyopo"
ya kuwakilishwa, sio "yakuwakilishwa"
tunaandaa, sio "tunanda"
wa kisheria, sio "wakisheria"
Kwa mawasiliano tunapatikana.... sio "Kwa mawasiliano wasiliana nasi...."
Unashindwa kuandika hata nusu ukurasa wa maelezo ya Kiswahili, utakuwa mwanasheria wa nani wewe? Mfumo wa elimu ufumuliwe.
tuna toa misada mbalimbali yakisheria katika vitu vyetu vya kisheria vivyopo na mtwara mjini na kwa hapa Dar es salaam pia tuna patikana katika jengo la EAGR/Furniture center ghorofa ya tatu , chumba na 301 Barabara ya nyerere/mtaa wa Boari .
TUNATOA MSADA WA KISHERIA KWA KESI MBALIMBALI KAMA
makosa ya jinai, ndoa, miradhi, madai yakawaida, mauziano ya nyumba magari ardhi n.k, napiatunatoa huduma yakuwakilishwa mahakamani na tunanda memorandum nakutoa ushauri wakisheria
KWA MAWASILIANO WASILIANA NASI
S.L.P 46423 Dar Es Salaam
Simu 0713602026
0783450400
0712690760
KWA MTWARA ORGANIZATION FOR LEGAL ASSISTANCE
S.L.P 407 Mtwara
Simu (023)23334693 karibu sana kituo chetu kwa
kaka wasiwasi ulishawahi kuleta kesi au unasema kwasababu unajua kusema inaonekana unasoma unataka nikujibu ili ukajibu samahani sito lijibu hilo ndio mana nikaelekeza ofisi zilipo nanamba zasimu zipo karibu sana
nikawaida ya watanzania hakuna jipya hapo hata ivyo natanguliza shukrani kwako sio mtaramu wakiswahil ukipata muda pitia vizuri na hii kisha huisaishe kwenye makosa nitashukuru kama utanifanikishia hili
mtaramu wakiswahili nashukuru walio hewa wamelewa halikazarika nawewe pia umelewa ndio mana ukatafsiri ndugu usinge elewa nazani usinge tafsiri
Mkuu, samahani.... hivi, kweli wewe ni mwanasheria kabisa? Ulisomea shahada ya sheria na kuhitimu? Au labda wewe ni msimamizi wa ofisi tu? Ni hayo tu ndugu yangu, sina lengo la kukukwaza....
haaaaaaaaaaaaaaaaaaa ili sio bunge hakuna tatizo lolote je kukosea kuandika kiswahili nikitu chakaida sana nawala sina chakutengua unazungumzia uzalendo wakulinda lugha isialibiwe watu wanamatatizo kibao watu wanakula rushwa hao ndio inapaswa mkawaelekeze uzalendo nini nasio kukosea kuandika kiswahili mm sio mtaramu wa lugha nazani nimeleweka vizuri nanaomba hieleweke ivyo natanguliza shukrani zangu na maswali yahivi sito jibu tena samahani kwa usumbufu utakao jitokeza