TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
Ni kauli ya mshindi wa Tunu za TECNO wakati akikabidhiwa zawadi yake alipotembelewa na TECNO Blue Santa na timu ya TECNO nyumbani kwake Mbagala, Dar es Salaam.
Caroline ambaye ni mwanafunzi wa sekondari, alishinda seti ya Dstv na vocha ya manunuzi yenye thamani ya Sh. 500,000 baada ya kununua tecno camon 12.
“Kwanza nilipopigiwa simu sikuamini maana sikutegemea kama ningeweza kushinda kitu kikubwa kama hiki, nilinunua Tecno camon 12 nikaambiwa kuna kushindanishwa, kulikuwa na vitu vingi mi niliona kikapu kilikuwa na chocolate na shampeni, nilijua ningeshinda hicho ila nashukuru nimeshinda zawadi kubwa nawashukuru sanaTECNO” Alisema Caroline huku akitabasamu.
Mshindi Caroline akikabidhiwa zawadi na TECNO Blue Santa Nyumbani kwake Mbagala
Pamoja na kukabidhiwa seti ya Dstv, Caroline akiambatana na mama yake mzazi alipelekwa na tecno kufanya manunuzi ndani ya Super Market maarufu ya Game iliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam ambako alifanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali zenye thamani ya Sh. 500,000/=.
Meneja mauzo Bi. Mariam Mohamed akimkabidhi mshindi Caroline mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. 500,000/=
Kwa upande wake mama mzazi wa Caroline aliishukuru TECNO kwa kutoa zawadi hizo kwa mwanae.
“Tumefurahi sana sana! Tunawashukuru kwa zawadi hizi.” Alisema mama mzazi wa Caroline.
Caroline pichani, akiwa na katikati ya TECNO Blue Santa na mama yake mzazi pamoja na kaka yake.
Naye Meneja mauzo wa TECNO Tanzania Bi. Mariam Mohamed, alisema zawadi hizi ni kwa yeyote anayenunua TECNO Spark series na TECNO Camon series anaweza kuondoka na seti ya Dstv pamoja na vocha ya manunuzi yenye thamani ya kitita cha Shilingi Laki Tano.
“Mimi napenda kuwaambia Watanzania kwamba promosheni yetu bado inaendelea katika mikoa tofautitofauti Tanzania nzima ndani ya msimu mzima wa sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, tembelea maduka yetu ya promosheni ununue Spark 4 series na Camon series unaweza kushinda seti ya Dstv na Vocha ya manunuzi ya thamani ya Shilingi Laki Tano” Alisema Bi. Mariam.
Mshindi Caroline akifurahi na TECNO Blue Santa baada ya kufanya manunuzi Game Super Market.
Lucky draw hii iliyofanyika Ijumaa ya Disemba 13, ilitoa washindi pia kutoka Arusha na Mwanza walijishindia vocha za manunuzi zenye thamani ya Sh. 500,000 kila mmoja na kisha kufanya manunuzi kwenye Super Market maarufu.
Rahma Khamisi kutoka Mwanza alipelekwa Nono Super Market kufanya manunuzi ya bidhaa zenye thamani ya Shilingi Laki Tano wakati Joyce Lema kutoka Arusha alipelekwa na TECNO Shoppers Super Market kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali zenye thamani ya Shilingi laki Tano.
Wakati Bi Rahma alipokuwa akiendelea kufanya manunuzi ndani ya NonoSupper Market Mwanza.
Manunuzi ya bidhaa zenye thamani ya Sh. 500,000 yalipokuwa yakiendelea Shoppers Super Market kwa niaba ya mshindi Joyce jinini Arusha.