Kwanja mbezi mpigi Magohe 8,000,000

Kwanja mbezi mpigi Magohe 8,000,000

Joined
Apr 16, 2013
Posts
20
Reaction score
2
Kiwanja kipo mpiji mwisho (kwa kengega) kina meter 30*30, kipo karibu sana Barabara. Maongezi yapo

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
hatujajua unauza nini hasa. Kama ni kwanja, kamwe aliwezi kuwa bei hiyo.
 
hatujajua unauza nini hasa. Kama ni kwanja, kamwe aliwezi kuwa bei hiyo.

kwani ni wapi huko mkuu,ni kule mbezi beach au???........ilitakiwa iwe juu ya hapo au chini ya hapo?
 
Kiwanja kipo mpiji mwisho (kwa kengega) kina meter 30*30, kipo karibu sana Barabara. Maongezi yapo

Sent from my BlackBerry using JamiiForums

Mkuu hilo eneo lina matumizi gani kwenye ramani ya mipango miji?
Usije kuta ni indusrtial area halafu unaweka makazi ya watu.
 
kwani ni wapi huko mkuu,ni kule mbezi beach au???........ilitakiwa iwe juu ya hapo au chini ya hapo?
Kama sijakosea itakuwa Kibamba mwisho halafu unaingia ndani sana njia ya kutokea TEGETA karibu kabisa na kule kunakojengwa chuo cha Arnautoglu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom