Acha uRage basi....Enzi za Manji walikuwa wanalipiwa wanaingia bure, msimu uliopita na huu Ahmed Ally wakati anapita mitaani na kispika wasemaji wao Yanga walisema kwa majira tofauti kwamba hawawezi kupita mtaani na kispika mashabiki wao watakuja tu wenyewe uwanjani.
Juzi wametangaza kiingilio ni bure ila uwe na jezi original but ni kuzuga tu ila bure mageti yatafunguliwa hamna atakayeweza kuhakiki hizo jezi, kwanza usalama utakuwa mdogo maana ni bure mashabiki watajaa lazima warukute mageti au kuyavunja.
Walipowafunga Simba wakagawa supu bure ,walijaa jangwani kufuata supu.
Kwani mashabiki wa hii timu wanapenda dezo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa dezo huna hojaAcha uRage basi....
Ebu fikiria kidogo, upate uelewa!
Thamani ya Jezi za Yanga zilivyo ghali...na jinsi mashabiki wa Yanga walivyozinunua kwa wingi kwa misimu hii ya mafanikio...( Elfu 35,40,mpaka50 na kuendelea) hii unaita bure
Viongozi wa Yanga wameona thamani ya mashabiki Yanga nakuamua kuweka kiingilio kiwe Jezi Og... we ndio unaita Bure hii!?
Kuwachinjia Ng'ombe na kuwakaribisha supu ni kuwathamini mashabiki wao....ila we kijana wa Rage unaita Bure. ebu punguza umbumbumbu
Kijana wa Rage unajielewa kweli!?
Yanga Wana Akili kubwa ktk hili,
Bure ni Shmbwa Fc na Usajili wa Manzoki ...hapa unaweza sema mashabiki wa umbumbumbuni Fc wanapenda Bure.
Nadhani umenielewa.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Faida ni nini??Sema mbumbumbu huwezi elewa nini faida ya kinachofanyika hapa.
Kanunue Jezi ya Yanga Leo, ya Elfu 35 OG, ndio kiingilio chako ktk mechi Jtano, afu urudi hapa useme umeingia Bure au Dezo...
Mtaani kwako bakuli la supu ni shilingi ngapi?
Nataka kuwaonyesha thamani ya Jezi za Yanga gharama zake ilivyo...na hicho anacho kiita Bure au Dezo having uhusiano kabisa....WAKO WAPI WATU WAKO hizo Jezi wanazo au ndiyo watazinunua Leo na kesho??
Huyo hajui bure na Dezo ni nini!? na thamani ya Mashabiki ni nini na umuhimu wa kujenga fans base....Mtaani kwako bakuli la supu ni shilingi ngapi?
Maana ile supu ya Yanga kuna mashabiki walitoka mikoani kwa kulipia nauli ya kwenda na kurudi kwa ajili ya ile supu
Ndio maana wakaitwa mbu3Huyo hajui bure na Dezo ni nini!? na thamani ya Mashabiki ni nini na umuhimu wa kujenga fans base....
Yanga Iko mbali sana na Mbumbumbu Fc.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Enzi za Manji walikuwa wanalipiwa wanaingia bure, msimu uliopita na huu Ahmed Ally wakati anapita mitaani na kispika wasemaji wao Yanga walisema kwa majira tofauti kwamba hawawezi kupita mtaani na kispika mashabiki wao watakuja tu wenyewe uwanjani.
Juzi wametangaza kiingilio ni bure ila uwe na jezi original but ni kuzuga tu ila bure mageti yatafunguliwa hamna atakayeweza kuhakiki hizo jezi, kwanza usalama utakuwa mdogo maana ni bure mashabiki watajaa lazima warukute mageti au kuyavunja.
Walipowafunga Simba wakagawa supu bure ,walijaa jangwani kufuata supu.
Kwani mashabiki wa hii timu wanapenda dezo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thread closed.✍️
Jezi inauzwa sio chini ya elfu 20 sasa unasemaje ni Bure?Enzi za Manji walikuwa wanalipiwa wanaingia bure, msimu uliopita na huu Ahmed Ally wakati anapita mitaani na kispika wasemaji wao Yanga walisema kwa majira tofauti kwamba hawawezi kupita mtaani na kispika mashabiki wao watakuja tu wenyewe uwanjani.
Juzi wametangaza kiingilio ni bure ila uwe na jezi original but ni kuzuga tu ila bure mageti yatafunguliwa hamna atakayeweza kuhakiki hizo jezi, kwanza usalama utakuwa mdogo maana ni bure mashabiki watajaa lazima warukute mageti au kuyavunja.
Walipowafunga Simba wakagawa supu bure ,walijaa jangwani kufuata supu.
Kwani mashabiki wa hii timu wanapenda dezo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie Rage kuwaita mbumbumbu hakukosea. Hii Yanga mashabiki wake sio wapenda dezo kama nyie. Hii timu mashabiki wake waliishaichangia sana tu kipindi kile inajitafuta, na bado walikuwa wanaingia uwanjani vizuri tu, sasa ije Leo.Enzi za Manji walikuwa wanalipiwa wanaingia bure, msimu uliopita na huu Ahmed Ally wakati anapita mitaani na kispika wasemaji wao Yanga walisema kwa majira tofauti kwamba hawawezi kupita mtaani na kispika mashabiki wao watakuja tu wenyewe uwanjani.
Juzi wametangaza kiingilio ni bure ila uwe na jezi original but ni kuzuga tu ila bure mageti yatafunguliwa hamna atakayeweza kuhakiki hizo jezi, kwanza usalama utakuwa mdogo maana ni bure mashabiki watajaa lazima warukute mageti au kuyavunja.
Walipowafunga Simba wakagawa supu bure ,walijaa jangwani kufuata supu.
Kwani mashabiki wa hii timu wanapenda dezo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni mbumbumbu Mzee, hakuna wanalojua.Acha uRage basi....