SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Wakuu habari za mfungo?
Hapa nchini tumejaliwa kuwa na watu wenye hela nyingi Tu kiasi ambacho ungeweza sikia kuna shule inaitwa Regnal Mengi ukakuta wenzetu ambao hawajiwezi wakasoma hapo. Kwanini unakuta Ijumaa au mwez huu wa ramadhani matajiri huwagaia maskini misaada ya pesa baada ya kuwawezesha hao maskini kwa kuwakusanya pamoja labda wakawapa mitaji ya kufuga kuku, kilimo, misaada itayowasaidia katika maisha yao ya kila siku sio Tu Ijumaa na mwezi mtukufu.
Sio kama thithaminI misaada waitoayo LA Asha, napenda kuona wenzetu hawa ambao Mungu amewajaalia basi wakiguswa na sasa sio mpaka watembelewe na wakuu wa mikoa ndiyo wawasilishe misaada yao. Waige mfano wa man pakiyao wa kule ufilipino walau tuwe na kijiji cha Bakheresa huko nje ya jiji. Tuwe na shule za watoto wa mitaani kule Arusha maana kuna mabilionea wengi.