Ninashangaa sana tangu niliposoma GAZETI LA KULIKONI la tarehe 20/06/2014 la siku ya Ijumaa lililosema kuhusu majibu aliyojibu aliyekuwa WAZIRI WA FEDHA Hon Mustafa huku akiungwa mkono na SPIKA WA BUNGE Hon Anne Makinda kwamba ametumia busara na uvumilivu kwa miaka miwili na kuamua kujibu kwa kusema ukweli kuhusu uuzwaji wa kiwanja kwenye kitalu namba 10 Nyerere Road.
Spika alisema wazi, cha ajabu tarehe 01/07/2014 WAZIRI WA FEDHA wa hivi sasa Hon Saada Mkuya ametangaza kulifuta rasmi shirika la CHC na mali zote zinahamishiwa kwa msajili wa Hazina na baadhi ya wafanyakazi kutupiwa virago.
Nakala ya barua ya Waziri imeandikwa na kupelekwa CHC.
MASWALI.
1. Kwanini suala hili lije na kuamuliwa kufutwa rasmi kwa CHC baada ya Spika kuhoji na kuiambia serikali na wabunge kuacha tabia ya kukomoana maana Waziri Mkulo hakutajwa kuhusika katika ripoti ya CAG ?
2. Kwanini Waziri Mkuu akiwa ni mshauri wa Raisi aliomba Waziri Mkulo aondolewe akijua fika alikuwa nje ya nchi kuitafutia nchi pesa ?
3. JE WAZIRI MKUU PINDA AMEWEZA KUVAA VIATU VYA EDWARD LOWASSA ?