kwahiyo ligi ya epl haina hela?Siasa ya mchezo wa soka; wenye maamuzi nani awe nani kwenye soccer ni wale wenye maslahi makubwa mapana na ya moja kwa moja na mchezo huo.
Angalia, CR7 na LaPulga, wooote wanaaminishwa kwenye soccer kwa sasa ni hawa wawili tu!
Xavi alishangaa alipoona hakupewa yeye tuzo ile ila akasema kwakuwa amepewa teammate, haina shida!
Hata hivyo, mchezaji bora wa dunia anatoka kwenye ligi maarufu na zenye hela tu..
Inayo, kwani CR7 alichukia tuzo zote akiwa La liga?kwahiyo ligi ya epl haina hela?
Miongoni wa viungo bora kabisa.....asipokuwepo uwanjani kuna watu wanapotea kabisa.Mimi mnisaidie kwanini maestro Iniesta hakuwahi kupata ballon d'or
FAbio Cannavaro alishawahi kutwaa wapi golden boot?Sasa hata EPL Golden Boot Yenyewe Hajawahi Chukua Sembuse Ballon D or??
Swali halali kabisaaa...FAbio Cannavaro alishawahi kutwaa wapi golden boot?
Kwa miaka kumi na tano iliyopita, Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya England ambaye kwasasa anakipiga katika klabu ya Everton alikuwa katika fomu ya juu sana.
Ni katika kipindi hiko, Wayne Rooney au Pele Mweupe kwa jina la utani, alitwaa kila taji katika ngazi ya klabu.
Wayne Rooney ametwaa mataji matano ya EPL.
Ameteaa Uefa Champions League, Uefa Europa League, F.A cup, Klabu Bingwa ya Dunia, bila kusahau Carling cup na Ngao ya Hisani.
Hiyo inamfanya kuwa Muingereza mmoja kati ya Waingereza wawili kutwaa kila taji kwa ngazi ya klabu.
Dunia ya mashabiki wa soka haikuwahi kumtazama Rooney kwa umakini na kumpa sifa zake. Mimi naamini katika miaka 10 mpaka 15 iliyopita Rooney alistahili kutwaa mchezaji bora wa Dunia walau mara mbili hivi.
Je ni kwanini FIFA walimnyima Rooney tuzo ya mchezaji bora wa Dunia akiwa katika ubora wake?
Unanikumbusha wiz wa wazi waliomfanyia xavi,iniesta,sneider.Mmmh hembu naomba nitajie ni mwaka gani unahisi Rooney ali deserve Balon d'or?Halafu uangalie mwaka huo kachukua nani?na jee ni kweli ana deserve au kapendelewa?Msimu ambao atleast Rooney angeclaim kuchukua ni 2007/08 ambao ndio walibeba UCL pale Moscow but Cristiano Ronaldo was the star performer without a doubt!!Atleast mtu akinambia Iniesta au Xavi au Sneijder au hata Ribery (2013) wamedhulumiwa apo kidogo ningekuelewa lakini Rooney aargh hivi kashawahi kushinda hata PFA players player of the year award na kama kashinda itakua moja tuu
Kwa kua tuzo ni moja basi anabeba mmoja..
Ila imejaa upendeleo sana...
Xavi,
Iniesta
Sneidjer
Ribery
Nuer
Kna kipindi walstahili kabsa..
Kesi ya Wazza ni timu yake kumpa majukumu mazto, hii ilimpumguzia ubora wa kufocus na ufungaji pekee ktu ambacho ndio knatazamwa sana kwa sasa..
No Doubt msimu wa 2009/10
Wazza alikua fomu sana kias alkua mshambuliaji hatari kabsa kwa kipindi kile...
Sometime bahati pia.. Esp. Wesley Sneidjer 2010