Sifahamu kabisa....Hujafafanua kinachofanya wakuogope mkuu uo urefu, hyo rangi? Au kuna namna nyingine...????
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda wanakufaninisha na kibakaWasalaam...
Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.
Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.
Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.
Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!
Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!
What is this?
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa wanamfananisha na kichaa mpendasifa malaika mkuuLabda wanakufaninisha na kibaka
weka picha yako mkuu ndio tunaweza kuchangia vizuri
Itakuwa wanamfananisha na kichaa mpendasifa malaika mkuu
mkuu utakuwa unajitangaza kama afisa usalama wa taifa/ mteka watu?Wasalaam...
Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.
Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.
Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.
Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!
Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!
What is this?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mkimya tu wala sina hasira. Lakini ni ukweli pia sichangamani sana na watu!Labda una hasira sna ukifanyiwa jambo ni raisi kujibu kwa hasira au kupiga mtu au upo sirious sana hucheki au hujumuiki na watu sana mkimya kupitiliza. Ubaya wa sura hauzuii watu kucheka au kufurahi nawe ila ni ww unavyojiweka mbele za watu
Sent using Jamii Forums mobile app
uhh.. may be.May be uko serious sana..May be hauko politely the way you talk..May be unaongea kwa ukali ukali..may be uko stressed bila kujijua..may be una over confidence..may be mtaa wa unaokaa ww ndio unaonekana unavisenti..may be uoga wao tu..may be wenge lako tu kuonwa unaogopwa kumbe hamna lolote..may be stimu unazotumia unajiona kama Vandame..may be ..may be ..may be...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini asee!?mkuu utakuwa unajitangaza kama afisa usalama wa taifa/ mteka watu?
Ndyo sababu bc jitaidi kuchangamana na watu au tafuta mmoja uwe karibu naye kama rafiki itakuwa njia rahisi ya kuzoeana na wengineMimi ni mkimya tu wala sina hasira. Lakini ni ukweli pia sichangamani sana na watu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahaaaaa umeua mkuuItakuwa wanamfananisha na kichaa mpendasifa malaika mkuu