Huwezi kuamini kuna watu wanaanzisha uhusiano kupitia mitandao ya kijamii kama fb,twitter,jf nk .,hali ya kuwa wanawapenzi wao ambao wanawajua tabia.,wamezoeana na ni rahisi kukosoana.
Suala la kutoridhika faragha huwa siliafiki kwakuwa,waweza kumfanya mwenza wako kuwa vile unavyopenda ww..,
Halafu una uhakika gani kama yule unaemu'approach' atakuwa mzuri kitandani kuliko yule ulienae..?