MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 929
- 1,310
CCM haina watu wengine ?Watu hubadilika Hata waovu wa leo waweza kuwa wema kesho na wema wa leo waweza kuwa waovu kesho
MAKONDA AREJESHWE AMEKUWA MWEMAWatu hubadilika Hata waovu wa leo waweza kuwa wema kesho na wema wa leo waweza kuwa waovu kesho
MAKONDA NA SABAYA WAPEWE NAFASI YA PILI NI WACHAPA KAZI SANAKwani katika maisha mtu huwa hapati nafasi ya pili?
VIPI MAKONDA NA SABAYA NAO WANA FAMILIA WARUDISHWEHuende ni watendaji wazuri pengine waliondolewa kwa hujuma ama kilichopelekea watenguliwe tayari wameshajirekebisha kwanini wasitumike tena kama walikuwa na manufaa kwa nafasi. zao kumbuka hao nao ni binadamu wana familia na ndg zao wanawategemea inapokuja habari njema kama hii inagusa wengi chapa kazi acha wivu
MAKONDA AREJESHWE AMEKUWA MWEMA