jamani sinahakika kama limejadiliwa hapa.
Ni hivi mwaka jana nilibaatika kuwa na wanawake 3 kwa nyakati tofauti nilipoanzana na wakwanza baada ya miezi 6 akaanza kuniambia anahisi nimjamzito akaanza kueckti kila kitu kama anaujauzito kadri cku zilivyokwenda sioni dalili zaidi ya kuhimizwa nimwoe kila kukicha, nikamtema nikapata mwingine naye mda si mrefu naye akaanza ishu hiyo hiyo yani tofauti ni kiduchu tu naye akaanza story nimwoe kwa kasi nimpe majina matatu akaandike cliniki nikasepa watatu the same yy alikuwa ni mhuni nilipomtema akaanza fujo mwisho wa yote akasema lazima unioe kwani ninaujauzito wako nikambana tukapime akasepa ikawa salama yangu.
swali je cku hizi mimba ndokigezo cha kuolewa?
pls firstlady naitaji mchango wako

acha kabisa huo mchezo ndugu yangu............!mkuu baada ya kupima ndo sex ikafata
acha bwana mkubwa.......mkuu kavu kavu ni baada ya kupima
ndio, kama kweli wewe ni mkulima mzuri n kigezo kizuri kwani ndio huthbitisha kuwa shamba lina rutuba ya kutosha.
halafu ni kigezo kinacholipa sana. siku hizi asikudanganye mtu, demu bila kuibeba kwelikweli haolewi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! sahau.
siku hizi bibi arusi mwenye mimba ndogo ni kama miezi minne hivi majority kuanzia miezi sita na kuendelea!!!!!!
jamani sinahakika kama limejadiliwa hapa.
Ni hivi mwaka jana nilibaatika kuwa na wanawake 3 kwa nyakati tofauti nilipoanzana na wakwanza baada ya miezi 6 akaanza kuniambia anahisi nimjamzito akaanza kueckti kila kitu kama anaujauzito kadri cku zilivyokwenda sioni dalili zaidi ya kuhimizwa nimwoe kila kukicha, nikamtema nikapata mwingine naye mda si mrefu naye akaanza ishu hiyo hiyo yani tofauti ni kiduchu tu naye akaanza story nimwoe kwa kasi nimpe majina matatu akaandike cliniki nikasepa watatu the same yy alikuwa ni mhuni nilipomtema akaanza fujo mwisho wa yote akasema lazima unioe kwani ninaujauzito wako nikambana tukapime akasepa ikawa salama yangu.
swali je cku hizi mimba ndokigezo cha kuolewa?
pls firstlady naitaji mchango wako
jamani sinahakika kama limejadiliwa hapa.
Ni hivi mwaka jana nilibaatika kuwa na wanawake 3 kwa nyakati tofauti nilipoanzana na wakwanza baada ya miezi 6 akaanza kuniambia anahisi nimjamzito akaanza kueckti kila kitu kama anaujauzito kadri cku zilivyokwenda sioni dalili zaidi ya kuhimizwa nimwoe kila kukicha, nikamtema nikapata mwingine naye mda si mrefu naye akaanza ishu hiyo hiyo yani tofauti ni kiduchu tu naye akaanza story nimwoe kwa kasi nimpe majina matatu akaandike cliniki nikasepa watatu the same yy alikuwa ni mhuni nilipomtema akaanza fujo mwisho wa yote akasema lazima unioe kwani ninaujauzito wako nikambana tukapime akasepa ikawa salama yangu.
swali je cku hizi mimba ndokigezo cha kuolewa?
pls firstlady naitaji mchango wako
fuata ushauri huu!acha kabisa huo mchezo ndugu yangu............!
so many of dem chicks do this, especially ukiingia mkavu, unaweza ukaambiwa hata kesho yake tu kuwa nina mimba yako!hao wote walitaka wakuuzie mbuzi ndani ya kiroba...
Tatizo ni uzembe wetu sisi Wanaume kutofuatilia Menstruation Cycle za Wapenzi wetu! Kama unaelewa Menstruation Period yake ni ngumu kukudanganya.