Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,207
- 5,990
Salaam Wakuu,
Kuna changamoto kubwa sana tunayokutana nayo katika Mahusiano sisi watu tunaotok Mara,unapata mwanamke mnaelewan,lakini inatokea pindi anapohitaj kukujua zaid kuhusu origin yako, na wew unakuta umempenda kwa dhati hutaki kumdanganya, unamwambia May be Mimi natokea Mara kabila ni Mjita, Mkurya, Mjaluo, mzanaki, Mluli nk, Demu anabadilika kabisa anakoswa AMANI anaanza kukaa na Wewe kwa machale utadhan we ni simba au alshabab,Kwann?
My take:
Wanawake watu wa Mara tunahitaj kutreatiwa kama watu wengine plz acheni hizo bhana!!..
Wasalam.