Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
Sasa mie nakupa mkasa wangu kiufupi matukio tofauti . Secondary I have met a wounderful best friend her family have everything we need and more . Lakini sikujua huyo dada mama yake alikuwa mshirikina , alieenda kutuunganisha urafiki kichawi ukawa kama ndugu hiwezi amini mama yake akaja kufa ila wao walinitumia kwa riziki zao za kila siku, ila kuja kujua ni baada ya kuwa serious nataka niolewe , acha tu nimeteseka mtiririko wa marafiki zangu wanaleta shida nikaja nikapata muhindi wa kunioa . Wapambe wakanieendea kwa mganga wakavuruga tena nisiolewe wakatupa hadi majini nilipauka hata maji sikuwa na yameza jingine , bibi yangu mzaa mama alikuwa mshirikina nilikoma eti nilipewa misuko suko hadi nikaona basi ngoja nitulie kabisa .Yani wanawake wengi tena haswa awa wanajiita ma BBF ndo kabisa, mtu anatoa habari za huyu anapeleka kwa mwingine Alaf anajifanya oh my babe I always got your back kumbe unafki mtu akiwa pembeni anakuponda na kuanika mambo yako.
Ukiachana na hili unaweza ukawa umependeza ukaenda sehemu or hata kazini unakuta wanawake wanaanza kukuchukia gafla tu bila sababu na ukimuuliza kwann unamchukia yule hana sababu za msingi, uki mind your own business wanaanza umbea kukuongelea mara anaringa mara hivi. Na especially ukiwa your beautiful, unajipenda na huna mambo yake ya kushobokea watu ndo kabisaa.
Yani Mimi honestly Naona bora wanaume they got each other’s back ( japo sio wote) Ila most of them and huwakuti wakiongea habari za mwanaume mwenzao especially ikiwa very personal. Na ndo maana urafiki wao unadumu mpaka wanakua kama familia.
From now onwards I will be having only male friends [emoji19][emoji19].
Ukimfuma mtu anakuongelea vby usichukie tena changia hata mada, mtu akikufuata ety fulani alikua akikusema wewe muhuni mwambie mbona amechelewa kunijua, wew mchafu jib mchafu haswaa.Hayajakukuta unakuja unaambiwa kabisa flani anakusema vibaya Au sometimes unamfuma kabisa rafiki yako anakuongelea vibaya
Hapa unamaanisha waliokutendea ubaya walikuwa ni wanawake wenzako?Sasa mie nakupa mkasa wangu kiufupi matukio tofauti . Secondary I have met a wounderful best friend her family have everything we need and more . Lakini sikujua huyo dada mama yake alikuwa mshirikina , alieenda kutuunganisha urafiki kichawi ukawa kama ndugu hiwezi amini mama yake akaja kufa ila wao walinitumia kwa riziki zao za kila siku, ila kuja kujua ni baada ya kuwa serious nataka niolewe , acha tu nimeteseka mtiririko wa marafiki zangu wanaleta shida nikaja nikapata muhindi wa kunioa . Wapambe wakanieendea kwa mganga wakavuruga tena nisiolewe wakatupa hadi majini nilipauka hata maji sikuwa na yameza jingine , bibi yangu mzaa mama alikuwa mshirikina nilikoma eti nilipewa misuko suko hadi nikaona basi ngoja nitulie kabisa .
Kuanzia kazi hadi maisha yakawaida yaliharibika walicopy na kupaste i admit mie sio more beutiful but Iam . Walinifunga hadi basi nikafunga hadi biashara yangu saivi na uguzwa tu kwa hili na lile na mambo mengi walionivuruguia
Haswa na sio mchezoHapa unamaanisha waliokutendea ubaya walikuwa ni wanawake wenzako?
Sawa Sawa. Lakini unaonaje pamoja na mama kuwa rais bado haijawabadilisha ninyi wanawake kifrika na kuanza kupendana? Unique FlowerHaswa na sio mchezo
Tena wamezidi kwenda kwa babu balaa yaani saivi na cheza kwa stepu maana unapewa mikasa na majirani hadi basi . Yaani nibora uwe na wanafiki wengi kuliko rafiki mmoja unayemfungulia maisha yakoSawa Sawa. Lakini unaonaje pamoja na mama kuwa rais bado haijawabadilisha ninyi wanawake kifrika na kuanza kupendana? Unique Flower
Sasa mie nakupa mkasa wangu kiufupi matukio tofauti . Secondary I have met a wounderful best friend her family have everything we need and more . Lakini sikujua huyo dada mama yake alikuwa mshirikina , alieenda kutuunganisha urafiki kichawi ukawa kama ndugu hiwezi amini mama yake akaja kufa ila wao walinitumia kwa riziki zao za kila siku, ila kuja kujua ni baada ya kuwa serious nataka niolewe , acha tu nimeteseka mtiririko wa marafiki zangu wanaleta shida nikaja nikapata muhindi wa kunioa . Wapambe wakanieendea kwa mganga wakavuruga tena nisiolewe wakatupa hadi majini nilipauka hata maji sikuwa na yameza jingine , bibi yangu mzaa mama alikuwa mshirikina nilikoma eti nilipewa misuko suko hadi nikaona basi ngoja nitulie kabisa .
Kuanzia kazi hadi maisha yakawaida yaliharibika walicopy na kupaste i admit mie sio more beutiful but Iam . Walinifunga hadi basi nikafunga hadi biashara yangu saivi na uguzwa tu kwa hili na lile na mambo mengi walionivuruguia
Ukimfuma mtu anakuongelea vby usichukie tena changia hata mada, mtu akikufuata ety fulani alikua akikusema wewe muhuni mwambie mbona amechelewa kunijua, wew mchafu jib mchafu haswaa.
Maisha rahisi momy
Angalia nyuzi za humu MMU nyingi ni kusengenya wanawake,mnadhani wanawake hatuna stori za kiumeni??tuna vifua😁😁Umetuonea sana!!
🤣🤣🤣🤣 Mmezidi....kila siku humu mnaleta umbea wa chumbani na wifi zetuchai
Huu ndio ukweli kabisa ushaidi upoSo sad [emoji20] Polee sanaa dear
Mpaka nimeogopa
Kuna wenzetu tumeanza kuwapoteza aiseeHalafu hii tabia ya kike baadhi ya wanaume wameanza kuwa nayo, kuna vijiwe wapo vijana wa ovyo kabisa.
Kila lakheri...Ila hawawashindi wanawake [emoji23]
I will choose wisely
bora sisi tunaleta humu, nyie mnatangaza mtaa mzima😅🤣🤣🤣🤣 Mmezidi....kila siku humu mnaleta umbea wa chumbani na wifi zetu
Hatunaga hizo,tutakutangaza kama ukiwa MBAHILI basi 🤣🤣🤣bora sisi tunaleta humu, nyie mnatangaza mtaa mzima😅
Uongoobora sisi tunaleta humu, nyie mnatangaza mtaa mzima😅
unakuta mtaa mzima unajua baba flani ana mtoto wa nje, wamejuaje?Uongoo
Ni kwasababu nyie wanawake ni STRONGLESS and FEARSOME. [emoji41]
-Kaveli-
Uongoounakuta mtaa mzima unajua baba flani ana mtoto wa nje, wamejuaje?