kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 332
- 952
Daaah noma mkuu basi tunaweza kusema kila mwanamke ametofautiana maana wapo wanaoependa watu vituko na wengine wanapenda wanaume wasio waongeajiHivi viumbe havijawahi eleweka, mi ni mkimya sana niwapo mazingira ya gheto, lakini mademu napata wa kutosha, kwa kuwa mie huwa sinaga mazoea kabisa, mkimya sio poa! kwanza huwa wanashangaa eti imekuwaje, yaani muda wote unarusha voko ila yeye anakushangaa eti "kumbe na wewe huwa unaongea?" Nilivyo mjinga, na mimi nampeleka kijeshi, mwendo wa kishalkhani, sasa ndo anajiona amepata mtu[emoji23][emoji23] hata njiani, sinaga tabia ya kugeuka nyuma hata kama apite bidada mwenye zigo la aje, sasa hapo nakuwa nshamchanganya bidada wa watu, baada ya wiki namtafutia kimasihara, ananipa yote na miuno juu, na sauti ananitolea kwa moyo wote na kwa nguvu zake zote!
Hence, hivi viumbe havitabiriki ukiondoa binadamu!
Waje waajeAisee...njooni mjibu.
Hao maduu wangapi!!!? Kumi ishirini thelathini ama wangapi??? Isije kuwa hata saba hawafikii [emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu mambo VP aiaisee nawapeni siri mademu Siku hizi wamekuwa wajanja hawapendi hela mwanzoni mwa mahusiano wanajifanya hawataki hela ila mbeleni sasa akishakuzoea vizinga vinaanza.
Anyway mademu kwann wanawapenda watu wacheshi?
Maana kuna mwanangu mmoja sura onyango ila anawagonga sana mademu wakali kisa tu mcheshi komediani yaani nilimuuliza akaniambia kuwa yeye uwa anawachekesha maduu wanajaa wenyewe anawagonga.
Swali kwann mademu mnawapenda wanaume wacheshi?
Analeta pisi Kali nyingi ghetto toka nimemjua jamaa anaweza kuwa kala kalibia pisi 40Hao maduu wangapi!!!? Kumi ishirini thelathini ama wangapi??? Isije kuwa hata saba hawafikii [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuuMwanamke huyo huyo anayependa mcheshi pia anapenda:
Mkimya
Dereva
Bodaboda
Askari
Mlevi
Mwenye pesa
Mwenye cheo
Machinga
Muuza genge
Kwa hiyo usihofu mkuu. Katika nafasi na hali yako utapendwa na papuchi utakula.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Mwanamke huyo huyo anayependa mcheshi pia anapenda:
Mkimya
Dereva
Bodaboda
Askari
Mlevi
Mwenye pesa
Mwenye cheo
Machinga
Muuza genge
Kwa hiyo usihofu mkuu. Katika nafasi na hali yako utapendwa na papuchi utakula.
Huyo harmorapaaAu rafiki yako ndo huyo kwenye avatar?
Wakuu mambo VP aiaisee nawapeni siri mademu Siku hizi wamekuwa wajanja hawapendi hela mwanzoni mwa mahusiano wanajifanya hawataki hela ila mbeleni sasa akishakuzoea vizinga vinaanza.
Anyway mademu kwann wanawapenda watu wacheshi?
Maana kuna mwanangu mmoja sura onyango ila anawagonga sana mademu wakali kisa tu mcheshi komediani yaani nilimuuliza akaniambia kuwa yeye uwa anawachekesha maduu wanajaa wenyewe anawagonga.
Swali kwann mademu mnawapenda wanaume wache
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Bado tuko chapter ya hela unazo we unajump chapter
Mkuu unauhakika ucheshi utalipia outings
Hiyo chapter bado bhana
sio wote mm mbon nimkimya sana ila ninambavu nene mzee wa tize na gmy nashobokewa na kila lika kuanzia madem wa vyuo had wa sekondal wote napitanaoWakuu mambo VP aiaisee nawapeni siri mademu Siku hizi wamekuwa wajanja hawapendi hela mwanzoni mwa mahusiano wanajifanya hawataki hela ila mbeleni sasa akishakuzoea vizinga vinaanza.