Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
SEHEMU mbalimbali duniani wanawake wanatarajiwa kuishi umri mkubwa ikilinganishwa na wanaume. Kimsingi, watu wengi wana bibi zao kuliko babu zao.
Kwanini iko hivi na ni nini husababisha? Kulingana na utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Southern California nchini Marekani, watafiti wa masuala ya jamii, saikolojia na utambuzi kuhusu kuzeeka wanadai tofauti za umri wa kuishi kati ya jinsia hizi zilianza mwanzoni mwa karne ya 20.
Kwa habari zaidi, soma hapa => Kwanini wanawake huishi umri mrefu kuliko wanaume? | Fikra Pevu