Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

Vilio vya mashostee vinazidi sana. Kikweli hata mimi imefika mahali naamini kuwa wanaume wale wa shoka wanapungua. Sijui ni stress za maisha au laa ila kiukweli ni wanaume wachache sana mkienda kwenye majambozi akiwa mkavu hajaboost na pombe au dawa za kuongeza nguvu kuunganisha bao 3 imekua ngumu sana.

Unakuta ndiyo kwanza stim zimepanda yeye akiingia tuu huyo kamaliza na uume unalegea kama mlenda. Kiukweli mnatuchafua sana jitahidini kusoma mchezo na kuturidhisha basi punguzeni kula chipsy mayai, kule vyakula vya asili pia inawacost sana maana kutwa kushinda mitandaoni simu imejaa picha za ponograff mnaishia kujichua tuu hili nalo ni tatizo linaadhiri kisaikolojia pia uume unakosa kuwa strong.

Acheni kutuchafua jamani.
Mbona wanaume bado tupo? Hebu mtutafute

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom