Huwa nawashauri wanaume wenzangu watulie kama mimi ila wao hawataki hapa jf wote wameoa na wanamichepuko zaidi ya 6 ila mi nipo singo najitunza kwaajili yako Bi zandile
Mwanaume ni mtu Ambae anatafuta ridhki zake sehem zenye heka heka na makelele ivyo akilud nyumbani anaitaj utulivu wa Hali ya juu kupumzisha mwili,ila akilud nyumbani akakuta mikelele Tena kama alipo Toka kazini baasi apo ndo linapo Anza tatizo, mwanaume ni kiumbe ambacho akipend makelele akiwa mapumzikoni.
Nawakilisha hoja kisomi kabisa😂🙏🏽.
Wanawake mnashida sana, kwanza mnataka mwanaume aiombe chumbani tena on ground, badala ya wewe kutengeneza mazingira aipate kwa Uhuru. Mfalme hatakiwi kusumbukia vitu vidogo kama hivyo.
Kingine ni mazoea, yaani kumzoea Mume kana kwamba ni mwanao